EAST AFRICAN ANTHEM

 Chorus

Jumuiya yetu sote tuilinde

  Tuwajibibike tuimarike

Umoja wetu ninguzo

Idumu jumuyiya yetu.

Ee mungu twaomba uilinde

 Jumuyiya Africa mashariki

Tuwezeshe kuishi kwa Amani

Tutimize na malengo yetu.

Uzalendo pia mshikamano

Viwe msngi wa umoja wetu

Natulinde Uhuru na Amani

Mila zetu na destri zetu.

Viwandani na hata mashambani

Tufanye kazi ste kwa makini

Tugitoe kwa hali na mali

Tuijenge jumuiya bora.